Información de la canción En esta página puedes encontrar la letra de la canción Kwaru, artista - Zuchu.
Fecha de emisión: 14.04.2020
Idioma de la canción: swahili
Kwaru |
Iyoo Lizer |
Aaah Ah Aaaaaah |
Ah |
Roho Ingekua Na Macho Ungejionea |
Moyo Haufanyi Kificho Ukigotea |
Mimi Kipi Nisonacho Ungeongea |
Mwili Wangu Rochorocho Nanyong’onyea |
Chungu Nilichopika |
Wamepakua Wenzangu |
Huruma Napukutishwa |
Wamechukua Tonge Langu |
Na Kitabu Chetu Cha Mapenzi |
Kurasa Umeichanachana |
Hazisomeki Tena Tenzi |
Zimepoteza Maana |
Mpofu Moyo Wangu |
Ulishindwa Ona |
Hukuandikwa Wakwangu |
Limenikaba Nalitema |
Kwaru Kwakwaru Kwaru |
Kachukua Kisoda Ana Ukwangua |
Kwaru Kwakwaru Kwaru |
Moyo Wangu Unaumia |
Kwaru Kwakwaru Kwaru |
Ah! Ye Kwa Nguvu Ana Ukwarua |
Kwaru Kwakwaru Kwaru |
Jamani Moyo Wangu |
Unaumia |
Eh |
Langu Tatizo |
Nachunda Najimaliza |
Mi Nakesha Kumuwaza |
Naweweseka Lake Jina (Ooh Jina) |
Oh! Basi Kwa Unyonge |
Najikaza Niache Kulia |
Mana Kwake Bahati Sina (Ooh Sina) |
Maumivu Ameipora Furaha Yangu |
Ooh Amekwenda Nayo |
Na Zangu Mbivu Zimeniozea |
Mmh Hasara Kwangu |
Oooh Oh! Yatajwisha Nayoo |
Mpofu Moyo Wangu |
Ulishindwa Ona |
Hukuandikwa Wakwangu |
Limenikaba Nalitema |
Kwaru Kwakwaru Kwaru |
Kachukua Kisoda Ana Ukwangua |
Kwaru Kwakwaru Kwaru |
Moyo Wangu Unaumia |
Kwaru Kwakwaru Kwaru |
Ah! Ye Kwa Nguvu Ana Ukwarua |
Kwaru Kwakwaru Kwaru |
Jamani Moyo Wangu |
Unaumia |