| Kamenitekenya tekenya katoto |
| Kamenitekenya tekenya katoto |
| Kanitekenya tekenya katoto |
| Kamenitekenya tekenya katoto |
| Kamenitekenya kamenigusa kunako (Eeh kunako) |
| Kanitekenya kamenipofua macho (Eeh macho) |
| Kanafanya makusudi kama hakataki pipi (Dori dori) |
| Kanafanya nakwenda rudi, boda boda pikipiki (Torori rori) |
| Kanitekenya |
| Kanipandisha midadi, nikimuona beki hazikabi, Kanitekenya |
| Moyo mpasuko radi, mapigo mbio bila ya idadi, Kanitekenya |
| Shepu lake la nicki minaji, mtoto ananimalizia mtaji, Kanitekenya |
| Akili kwake hazichaji, natapa tapa kama mfa maji |
| Teke tekenya, tekenya |
| Kaniteke tekenya, tekenya |
| Amenishika kwenye paja, tekenya |
| Namtajataja, tekenya |
| Teke tekenya, tekenya |
| Kaniteke tekenya, tekenya |
| Amenigusa kwenye kwapa, tekenya |
| Yaani mara huku mara hapa, tekenya |
| Kamenitekenya tekenya katoto |
| Kamenitekenya tekenya katoto |
| Kanitekenya tekenya katoto |
| Kamenitekenya tekenya katoto |
| Vanny Boy |
| Nikikatekenya kanatekenyeka |
| Yaani, kanacheka cheka |
| Kamenitekenya kanavyo tetemesha |
| Wami kitonga Sekenke na Sereleka |
| Tekenya |
| Mikono juu ka ana mabawa, Tekenya |
| Upepo sukuma ngalawa, Tekenya |
| Ukizungusha mama napagawa, Tekenya |
| Hadi birika lamwaga kahawa |
| Uki kaaaaati ka kigugumizi |
| Maasai kanipa dawa nishatafuna mizizi |
| Wani kaaatisha kichizi chizi |
| Yaani natapa tapa nashindwa kupiga mbizi |
| Pinda mgongo ukunje mikono |
| Twende taratibu kama konono |
| Kuku kishingo shingo |
| Kuku kishingo |
| Kama mbuzi kagoma kwenda |
| Kuku kishingo shingo |
| Kuku kishingo |
| Kizombi nimetoka milenda kanitekenya |
| Teke tekenya, tekenya |
| Kaniteke tekenya, tekenya |
| Amenishika kwenye paja, tekenya |
| Namtajataja, tekenya |
| Teke tekenya, tekenya |
| Kaniteke tekenya, tekenya |
| Amenigusa kwenye kwapa, tekenya |
| Yaani mara huku mara hapa, tekenya |
| Pinda mgongo Kishingo weka juu |
| Kunja na mikono kama kangaroo |
| Kuku kishingo shingo |
| Kuku kishingo |
| Kama umejinyonga unaning’inia |
| Kuku kishingo shingo |
| Kuku kishingo |
| Fanya waibuka unazamia |
| Kuku kishingo shingo |
| Kuku kishingo |
| Paramia ukuta chungulia |
| Kuku kishingo shingo |
| Kuku kishingo |
| Yaani nyatu nyatu |
| Na nyatia |