| Wenye wivu wasijinyonge |
| Ila wapigwe shoti wafe |
| King’asti wangu yupo hapa hapa |
| Usinishike bega niache |
| Nakupa yote mung’unya utamu wa pipi mate |
| Babe kwa mapenzi uko chuo |
| Hauko tena kindergarten |
| Marashi ya pemba |
| Amechanganya na tanga |
| Mtoto kama saida karoli |
| Anavyochambua karanga… |
| Na simuachi nampenda ye pete mi chanda… |
| L.O.V.E. (I love you) kama kassim mganga… |
| Presha inapanda, presha inashuka |
| Wanaovimba watapasuka |
| Nikikupost namba insta patachafuka |
| Watatamani kuhack waje kufuta hao… |
| Leleleeeeee |
| Wanaweweseka hao! (wanakopa bando watuperuzi) |
| Wanaweweseka hao! |
| Wanaweweseka hao! (mama nipe mambo, tuwauzi) |
| Wanaweweseka hao! |
| Wanaweweseka hao! (basi cheka cheka ukideka deka na mimi) |
| Wanaweweseka hao! |
| Ndege, tausi, maringo na tegeeee |
| Umbo kifusi, nyuma kishindo… |
| Nikubebeeeee, wenye chuki wakate shingo… |
| Sitaki rede mi nabunduki na weka lindo… |
| Udongo gani? ulo kufinyanga mwali wewe |
| Mganga gani, alopiga manyanga mwali weee… |
| Majungu si mtaji (ayayayaaa) |
| Maneno sio radi (ayayayaaa) |
| Jasho linawatoka maji (I love you daddy) |
| Marashi ya pemba, amechanganya na tanga |
| Mtoto kama saida karoli, anavyochambua karanga… |
| Na simuachi nampenda, ye pete mi chanda… |
| L.O.V.E. (I love you) kama kassim mganga… |
| Presha inapanda, presha inashuka |
| Wanaovimba watapasuka |
| Nikikupost namba insta patachafuka |
| Watatamani kuhack waje kufuta hao… |
| Leleleeeeee |
| Wanawewesena hao! (wanakopa bando watuperuzi) |
| Wanaweweseka hao! |
| Wanaweweseka hao! (mama nipe mambo, tuwauzi) |
| Wanaweweseka hao! |
| Wanaweweseka hao! (basi cheka cheka ukideka deka na mimi) |
| Wanaweweseka hao! |