
Fecha de emisión: 08.07.2020
Idioma de la canción: swahili
CCM Wayaaa! |
Kama kapiga kichuya wayaaa! |
Kama kafunga messi wayaaa! |
Kama kapiga msuva wayaaa! |
Kama kafunga ronaldo |
Magufuli kapiga kachapa wayaaa! |
Wapinzani wameshindwa kudaka wayaaa! |
Kwenye chama karudi lowasa wayaaa! |
Tunawafunga kama samata wayaaa! |
Kipondo kipondo |
Lazima tuchukue ndoo |
Tunavyowapa kipondo |
Kama barcelona kacheza ndondoo |
Kipondo kipondo |
Lazima tuchukue ndoo |
Tunavyowapa kipondo |
Kama barcelona kacheza ndondoo |
Barabara kama mbele wayaaa! |
Kacheza kama pele wayaaa! |
Tena reggea zipo tele wayaaa! |
Shule bure bila kwere wayaaa! |
Kwenye afya kilimo asante wayaaa! |
Umecheza kama ngolo kante wayaaa! |
Standard gauge mwendo kasi mwake wayaaa! |
Umetisha kama mbape |
Kipondo kipondo |
Lazima tuchukue ndoo |
Tunavyowapa kipondo |
Kama manchester kacheza ndondoo |
Kipondo kipondo |
Lazima tuchukue ndoo |
Tunavyowapa kipondo |
Kama arsenali kacheza ndondoo |
Wamebana wameachia |
Samia, suluhu kapiga shuti mbele |
Wamebana wameachia |
Kassim majaliwa kama ameandika gere |
Wamebana wameachia |
Dr sheni kawakaba shingoni |
Wamebana wameachia |
Mwake amepanda mpira kama morrison |
Pole pole anapiga shuti wayaaa! |
Mangula anapiga shuti wayaaa! |
Mangwala anapiga shuti wayaaa! |
Makonda anapiga shuti |
Wigulu chemba anapiga shuti wayaaa! |
Majaliwa anapiga shuti wayaaa! |
Mama samia anapiga shuti |
Magufuli anapiga shuti wayaaa! |
Kona goli… eeeh! |
Kona goli… eeeh! |
Kona goli… eeeh! |
Kona goli… eeeh! |
Nombre | Año |
---|---|
Tetema ft. Diamond Platnumz | 2019 |
Naogopa | 2020 |
Party | 2021 |
Tekenya Remix | 2020 |
Chuchumaa | 2019 |
Number One ft. Zuchu | 2020 |
Come | 2021 |
Rara | 2021 |
One Two | 2021 |
Teamo ft. Messias Maricoa | 2020 |
I Miss You ft. Zuchu | 2022 |
Jollof On The Jet ft. Rema, Rayvanny | 2020 |
Natafuta Kiki | 2016 |
Unaibiwa | 2017 |
Mama La Mama ft. Mr Blue | 2020 |
Chombo | 2018 |
Amaboko ft. Diamond Platnumz | 2020 |
Baila | 2021 |
Ngongingo | 2020 |
Happy Birthday | 2021 |