Información de la canción En esta página puedes encontrar la letra de la canción Mwanza, artista - Rayvanny.
Fecha de emisión: 09.11.2018
Idioma de la canción: swahili
Mwanza |
Vanny Boy |
Eh! Vanny Boy |
They are not ready for this |
Chee |
Eh nyege nyege |
Kwetu Mwanza nyegezi |
Hmmm! Nyege nyege |
Nishushe Mwanza nyegezi |
Eh nyege nyege |
Kwetu Mwanza nyegezi |
Hmmm! Nyege nyege |
Nishushe Mwanza nyegezi |
Oya wind your waist |
Njoo nipatie Commando |
Nikupe cha mkwesi |
Kwa miuno ya Tae-kwo-ndo |
Asa chekele, mwendo wa kandanda |
Ndani ya makwanda |
Sa nisongeze, leta msambwanda |
Nikazie nga’nga’nga (chee) |
Kananivuta ghetto, nkapinge bunduki |
(High bunduki) |
Ile naogopa central, michezo ya Amber Rutty |
(Amber Rutty) |
Eh nyege nyege |
Kwetu Mwanza nyegezi |
Hmmm! Nyege nyege |
Nishushe Mwanza nyegezi |
Eh nyege nyege |
Kwetu Mwanza nyegezi |
Hmmm! Nyege nyege |
Nishushe Mwanza nyegezi |
Yaani kama mjaluo |
Shepu ya Mombasa |
Hapendagi mpasuo |
Hata akishinda basata |
Tepe tepe mtoto kama supu teke teke |
(Kongoro) |
Kwa mateke mwite Fally Ipupa wa temeke |
(Ndombolo) |
Shaku shaku ya masai (Oooh masai) |
Kama kama nachuma papai (Oooh papai) |
Funika funua (twende) |
Bandika bandua (twende) |
Anika anua (twende) |
Kanipa chukua (twende) |
Eh nyege nyege |
Kwetu Mwanza nyegezi |
Hmmm! Nyege nyege |
Nishushe Mwanza nyegezi |
Eh nyege nyege |
Kwetu Mwanza nyegezi |
Hmmm! Nyege nyege |
Nishushe Mwanza nyegezi |
Oya fiti kalikiti ti |
Katoto hakashikiki |
OYA! |
Kwenye bilingiti ti |
Huvunjaja na kiti |
Oh sa iweke |
Ah iweke iweke, ah iweke |
Ipitishe kwa chini |
Ah iweke iweke, ah iweke |
Miendo ya kazi kazini |
Ah iweke iweke, ah iweke |
Hii! Ile ndi ndi ndi |
Ah iweke iweke, ah iweke |
Ngo ja shakiti bobo |
Ah iweke iweke, ah iweke |
Twende shaku kidogo |
Ah iweke iweke, ah iweke |
Chuma magi mbi mbi |
Ah iweke iweke… Ah iweke |
Ah iweke iweke, ah iweke |
Hahaha! Mchezo usiucheze |
Kabisa… |