Información de la canción En esta página puedes encontrar la letra de la canción Kainama, artista - Harmonize.
Fecha de emisión: 24.02.2019
Idioma de la canción: swahili
Kainama |
Konde Boy |
They call me Burna |
It’s Platnumz |
Eh eh eh eh! |
Na you dey make me sit down dey sing this song |
Gala gala |
You come dey make me feel like I did you wrong |
Jaga jaga |
If you want am, I go give you more |
Jara jara |
Today today, you go give me love |
Sawa sawa o, eh eh! |
Nasifiwa kwa mapenzi na madem |
Wanapagawa mpaka wananiita handsome |
Burna Boy, twaeka kila sehemu |
Wanapagawa mpaka wananiita handsome |
Nasifiwa kwa mapenzi na madem |
Wanapagawa mpaka wanaiita handsome |
Konde Boy, twaeka kila sehem |
Wanapagawa mpaka wanaiita (hii!) |
Adeka bura kwa mandera |
Rudi kwa bibi kinondoni |
Amber Lulu kunja dera |
Mwanangu Gigi simouni |
AJE! |
Ah inama (mama) |
Ah inuka (baby show them) |
Ah inama (ehehee) |
Ah shika ukuta (waonyeshe ulivyofuzwa) |
Ah inama (go down baby) |
Ah inuka (give it to dem baby) |
Ah inama (ehee!) |
Ah shika ukuta (ruska kutunza) |
Sio sura sio shepu, mi nikimuona taabani |
Hivi si Nuna, sepetu, amanimuite jina gani? |
Baby girl, your body killer (wee!) |
Mwendo kama caterpillar |
Miguu ya pombe tequila |
She dey burst my mind |
Ba mutu ba Congo Kabila |
Madongo Lunyamila |
And she’s so sweety, vanilla |
She dey burst my mind |
Ohohoo! |
Nobody sexy like my baby |
Hehehee! |
Tena Mwepesi akiwa kwa bedi |
Adeka bura kwa mandera |
Rudi kwa bibi kinondoni |
Amber Lulu kunja dera |
Mwanangu Gigi simouni |
AJE! |
Ah inama (mama) |
Ah inuka (baby show them) |
Ah inama (ehehee) |
Ah shika ukuta (waonyeshe ulivyofuzwa) |
Ah inama (go down baby) |
Ah inuka (give it to dem baby) |
Ah inama (ehee!) |
Mbbbrrroookkeeee |
Ah shika ukuta (ruska kutunza) |
Oya gaddem, mtoto nyau poli |
Ana vimacholegezo gololi |
Katika game, funga tu goli |
Hatumalizagi mchezo ukae goli |
Kilima kilima (panda kilima) |
Baby kilima, hii! |
Kisima kisima (namba kisima) |
Nainga kisima |
Nizame mpaka chini (ooh!) |
Ebu! Yani katoto kachafu kama bata (eeeh) |
Ah aah! |
Nami nakafanya ndafu nakang’ata |
Salamu ziende kwa wanjala |
Doni, Maisha, kitasa kwenye bunyeru |
Wambie Simba kacharara |
Anataka msambwanda kwa buku jeru |
AJE! |
Ah inama (mama) |
Ah inuka (baby show them) |
Ah inama (ehehee) |
Ah shika ukuta (waonyeshe ulivyofuzwa) |
Ah inama (go down baby) |
Ah inuka (give it to dem baby) |
Ah inama (ehee!) |
Ah shika ukuta (ruska kutunza) |
Eh eh! |
Nasifiwa kwa mapenzi na madem |
Wanapagawa mpaka wananiita handsome |
Burna Boy, twaeka kila sehemu |
Wanapagawa mpaka wananiita handsome |
Mbbbrrrookkkeee |
Nasifiwa kwa mapenzi na madem |
Wanapagawa mpaka wananiita handsome |
Simba, ma vision nitashame |
Vite madem nao nawapita handsome |
Konde Boy |