
Fecha de emisión: 04.11.2021
Idioma de la canción: swahili
Teacher |
Yah yah |
Ah ha ha ha ha, Jeshi |
(Imma in the beat) |
Wakati wanahanya kugombea kiti |
Wanadanganyana na viewers wa ku-cheat |
Mie jicho lipo nyanya nilishakula kijiti |
Na magoma yakipigwa huko club mtiti |
Ninachojua masela huko mtaani kuna dhiki |
Ndo maana sitingishi hela, wala ninavyovimiliki |
Mafumbo andika kwa dela, watu wanataka muziki |
Mara kumi mwanangu wa sindelela, yeye hapendagi makiki oh na, na-na |
Huu muziki nauweza |
Nauweza kuuimba na kucheza |
Ona unavyonipendeza |
Hadi majirani wameanza kunigeza (uhg) |
Huu muziki nauweza |
Nauweza kuuimba na kucheza |
Ona unavyonipendeza |
Hadi majirani wameanza kunigeza |
I’m your teacher, teacher Konde |
Teacher, teacher Konde |
I’m your teacher, teacher Konde |
Teacher, teacher Konde |
Huu muziki nauweza |
Nauweza kuuimba na kucheza |
Ona unavyonipendeza |
Hadi majirani wameanza kunigeza (uhg) |
Huu muziki nauweza |
Nauweza kuuimba na kucheza |
Ona unavyonipendeza |
Hadi majirani wameanza kunigeza |
Ninachojua masela huko mtaani kuna dhiki |
Ndo maana sitingishi hela wala ninavyovimiliki |
Mafumbo andika kwa dela watu wanataka muziki |
Mara kumi mwanangu wa sindelela yeye hapendagi makiki oh na, na-na |
Huu muziki nauweza |
Nauweza kuuimba na kucheza |
Ona unavyonipendeza |
Hadi majirani wameanza kunigeza (uhg) |
Huu muziki nauweza |
Nauweza kuuimba na kucheza |
Ona unavyonipendeza |
Hadi majirani wameanza kunigeza |
I’m your teacher, teacher Konde |
Teacher, teacher Konde |
I’m your teacher, teacher Konde |
Teacher, teacher Konde |
Naika kupoteka, karipambilile, eh |
Mwaka nakutayonja, nakutayonji |
Navanta na mwi makonde |
Vanemba, Newala |
Hadi ku-Tandahimba |
Naika kupoteka, karipambilile |
Teacher, teacher Konde |
Teacher, teacher Konde |
I’m your teacher, teacher Konde |
Teacher, teacher Konde |
Safi, safi sana |
Nombre | Año |
---|---|
Uno | 2019 |
Kainama ft. Burna Boy, Diamond Platnumz | 2019 |
Pain ft. Yemi Alade | 2020 |
Kwa Ngwaru ft. Diamond Platnumz | 2018 |
Mwaka Wangu | 2022 |
Magufuli | 2019 |
Bado ft. Diamond Platnumz | 2016 |
Never Give Up | 2019 |
Yanga | 2020 |
Matatizo | 2016 |
Mdomo ft. Ibraah | 2021 |
Single | 2021 |
Inanimaliza ft. Mr. Blue | 2020 |
What Do You Miss | 2021 |
I Can't Stop | 2021 |
One Question | 2021 |
Sandakalawe | 2021 |
Sorry | 2021 |
Outside | 2021 |
Always | 2021 |