| Hata wajiweke filter |
| Uzuri wa sura yako hawatafika ooh |
| Mama umekamilika ooh |
| Wasiokupenda ona wanakunja ndita ooh |
| Na unajua kupika ooh |
| Nikishakula natamani kukulipa oh |
| Hakuna kitu ananificha sa' |
| Katongozeni nije kuwaaibisha oh |
| Mungu kakupendelea ndo maana unaringa |
| Geuka shepu ina bembea ndo maana unavimba |
| Na hizo dimple ukinichekea nyusi umezitinda |
| Nipe nitakupelekea wiki tunamimba, aah |
| Nikitoka leo kongoni nishuke uvinza, Aah |
| Ukinipa kinondoni nikuombe sinza, aah |
| Hizi cassava kamenyamenya |
| Akibana inapenya penya |
| Manzi wa kanairo Kenya Kenya |
| Kwenye giza nimekatekenya |
| Mtoto fundi we, fundi aah |
| Fundi eeh, anayajua mama |
| Mtoto fundi aah, fundi aah |
| Fundi eeh, anayajua mama |
| Mtoto fundi we, fundi aah |
| Fundi eeh, anayajua mama |
| Mtoto fundi aah, fundi aah |
| Fundi eeh, anayajuaaa |
| Uno la kidigo sura ya kimasai |
| Shepu la kinyaki afro nywele Dubai |
| Meno ya kichaga Oldonyo Lengai |
| Haikatoks, haikatai |
| Ma, sweety nyonya hio ka pipi |
| Ukikalia kwa kiti, pressure hio ni bidii |
| Mungu kakupendelea ndo maana unaringa |
| Geuka shepu ina bembea ndo maana unavimba |
| Na hizo dimple ukinichekea nyusi umezitinda |
| Nipe nitakupelekea wiki tunamimba, aah |
| Nikitoka leo kongoni nishuke uvinza, Aah |
| Ukinipa kinondoni nikuombe sinza, aah |
| Hizi cassava kamenyamenya |
| Akibana inapenya penya |
| Manzi wa kanairo Kenya Kenya |
| Kwenye giza nimekatekenya |
| Mtoto fundi we, fundi aah |
| Fundi eeh, anayajua mama |
| Mtoto fundi aah, fundi eeh |
| Fundi aahh, anayajua mama |
| Mtoto fundi we, fundi aah |
| Fundi eeh, anayajua mama |
| Mtoto fundi aah, fundi eeh |
| Fundi aah, anayajua mama |
| KamixLizer |