Letras Siri - Rayvanny, Nikk wa Pili

Siri - Rayvanny, Nikk wa Pili
Información de la canción En esta página puedes encontrar la letra de la canción Siri, artista - Rayvanny.
Fecha de emisión: 28.12.2017
Idioma de la canción: swahili

Siri

Milele Mwanadada Nikifa Unizike
Kutoka kwenye Uvungu Wa Moyo Wangu
Natamka niwewee
Taswira pekee kwenye ndoto zangu mama
Mfariji pekee nikimwaga chozi langu mama (Niweweee)
Imenishinda siri Kifuani Mwangu (Aaaah aaah)
Nikupeleke Nyumbani kwetu Sheri eeeh
Ukawajue Na Ndugu zangu mama aaah
Unipeleke Nyumbani kwenu Bibi weweee
Nikawaone shemeji zangu mamaaa aaah
Siri Yanini (Siri)
Nini Maaana Yake oooh (Siri)
Siri ya niiini (Siri)
Nini hasara zake (Siri)
Siri oooh siri Mapenzi ya siri iiiiiiih
Ooooh Mama lolooooh.
Ooooh Mama lolooooh.
Ooooh Mama lolooooh.
Eeh Mama
Nipe Utamu kabla Ujatamka Usingizi
Si come Mpaka tukiamka Ni series
Kakonko twende kamara kibirizi
Mapaja Yake utamu Michirizi
Michepuko imenuna Imezila siri siri
Na wee ni kachumbali Mayonnaise Pili pili
Pili pili Manga Tunakilikili wanga
Kilimanjaro Nyumbani kwetu kisimili mwanga
Si mama Nikk Simama Wima
Siri Ya Mapenzi Nikufikishe kwa Kina
Umebeba beba
Mkungu Wa Muleba
Uchungu kama kwao wakajifungue leba
Umebeba beba
Mkungu Wa Muleba
Uchungu kama kwao wakajifungue leba
Ooooh Mama lolooooh.
Mama lolo kwako sijiwezi
Ooooh Mama lolooooh.
Sitoficha Mdudu Mapenzi
Ooooh Mama lolooooh.
Mama lolooooh.
Kwako sijiwezi
Ooooh Mama lolooooh.
Mama loloooooo oooooh ooh
Kwenye kamoyo mi sina (Siri)
Je nikutaje ka jina (Siri)
Wajue wenye fitina (Siri)
Jembe Nipo Nalima (Siri)
Basi Nawe Usifiche maaa… (Siri)
Sema Watupishe naaa… (Siri)
Vichefuchefu Watapishe Naaa… (Siri)
Penzi letu lisiishe m mi Na wewee… (Siri)
Owe owe oweoooo owe owe owaa
Owe owe oweoooo owe owe owaa
Siri Yanini (Owe owe oweoooo owe owe owaa)
Nini Maaana Yake (Owe owe oweoooo owe owe owaa)
Siri ya niiini (Owe owe oweoooo owe owe owaa)
Nini hasara zake (Owe owe oweoooo owe owe owaa)

Compartir letras:

¡Escribe lo que piensas sobre la letra!

Otras canciones del artista:

NombreAño
Tetema ft. Diamond Platnumz 2019
Naogopa 2020
Party 2021
Tekenya Remix 2020
Chuchumaa 2019
Number One ft. Zuchu 2020
Come 2021
Rara 2021
One Two 2021
Teamo ft. Messias Maricoa 2020
I Miss You ft. Zuchu 2022
Jollof On The Jet ft. Rema, Rayvanny 2020
Natafuta Kiki 2016
Unaibiwa 2017
Mama La Mama ft. Mr Blue 2020
Chombo 2018
Amaboko ft. Diamond Platnumz 2020
Baila 2021
Ngongingo 2020
Happy Birthday 2021

Letras de artistas: Rayvanny