| Woh |
| Eh Mbeya city boy |
| RayV vanny boy, ha ha Aiyolizer |
| Can you just rap just a little bit? |
| Bet you never saw this coming, oh yeah |
| Kama Zidane mpira uko kambani |
| Vile nawabana kama pochi ya wadada kwapani |
| Namwamini Mungu funga virago shetani |
| Joh Makini akiwa mweusi Baraka tumwite nani |
| Ah ah kwenye beat nateleza |
| Japo sijasoma nachana hadi kiingereza |
| Good morning! How are you?! |
| Men that’s simple |
| You do it for your own but I do it for my people |
| Nishataambika, wala sikusikika |
| Wakalashika sahani, nikakosa niliepika |
| Sasa mambo yamejipa kila kitu uhakika |
| Nanenepa wasafi kupiga selfie na Tiffa |
| Wananiita sugu (nani?) |
| Wananiita sugu (nani?) |
| Wananiita sugu sugu sugu sugu |
| Rayvannny boy |
| Wananiita sugu (nani?) |
| Wananiita sugu (nani?) |
| Wananiita sugu sugu sugu sugu |
| Naitwa Rayvanny boy V vanny langu jina |
| Kinyango toka mbeya siyo toy la kichina |
| Sijatoboa sikio sijui piko wala ina |
| Tattoo ya kazi gani ngozi taa ilishazima |
| Visilani, walokesha kupigapini |
| Hawaamini nikipita wanaomba picha na mimi |
| Zamani mademu walinipiga chini saizi wananisumbua wao |
| Ray jibu langu lini? |
| Heshima kwa watabiri walosema nitafeli |
| Wakaniita bajaji sitopita kwenye reli |
| Sa mi Wasafii |
| Kuku kapona kidedi |
| Ukisikia birthday basi tukutane sheri |
| Wananiita sugu (nani?) |
| Wananiita sugu (nani?) |
| Wananiita sugu sugu sugu sugu |
| Rayvannny boy |
| Wananiita sugu (nani?) |
| Wananiita sugu (nani?) |
| Wananiita sugu (yoh) sugu sugu sugu |
| Niite Ray Sugu |
| Sungura mla dubu |
| Vipi mama wa kambo ona linatema gubu |
| Mafuta na mashudu |
| Kipi unahusudu |
| Vunja kibubu isije kuwa mchele ama gubu |
| Nafurahi kuona matusi ya wanaonipinga |
| Waloninyima jero pindi napiga mizinga |
| Sasa nawapa kero zamu yao kuzinga |
| Tale kanipa mila msishtuke nikivimba |
| Uswazi ndiko nakotoka |
| Sista du onyo kushoboka |
| Sitakuonga iPhone nitakuonga goroka |
| Simu ya kitochi ukacheze gemu la nyoka |
| Wananiita sugu (nani?) |
| Wananiita sugu (nani?) |
| Wananiita sugu sugu sugu sugu |
| Rayvannny boy |
| Wananiita sugu (nani?) |
| Wananiita sugu (nani?) |
| Wananiita sugu sugu sugu sugu |