Información de la canción En esta página puedes encontrar la letra de la canción Baba Lao, artista - Diamond Platnumz.
Fecha de emisión: 07.11.2019
Idioma de la canción: swahili
Baba Lao |
S2kizzy baby! |
Ayoo Lizer |
Dangote baba lao (Baba lao) |
Simba baba lao (Baba lao) |
Chibu baba lao (Baba lao) |
Mondi baba lao (Baba lao) |
Eeeh Zombie baba lao (Baba lao) |
Magufuli baba lao (Baba lao) |
Makonda baba lao (Baba lao) |
Wasafi chama lao |
Ngoma kwa ngoma ni kopo koko |
Leo ndani twakesha popo |
Waiter tasambazia moko moko |
Moja baridi, Moja moto |
Mmechoka eti? (Aaah! Wapi) |
Mnataka lala? (Aaah! Wapi) |
Tungi limezidi? (Aaah! Wapi) |
Tuzime muziki??(Aaah! Wapi) |
Asa twende kisamugile, sambamba, Hapo vipi inabamba? |
Inogile inatamba, basi chanika musamba |
Eeeh! Wataweza kweli? (Aaah! Wapi) |
Kushindana nasi? (Aaah! Wapi) |
Hata wakiungana? (Aaah! Wapi) |
Matusi kututukana? (Aaah! Wapi) |
Dangote baba lao (Baba lao) |
Simba baba lao (Baba lao) |
Chibu baba lao (Baba lao) |
Mondi baba lao (Baba lao) |
Eeeh Zombie (Baba lao) |
Magufuli baba lao (Baba lao) |
Mwakyembe baba lao (Baba lao) |
Wasafi chama lao |
Hajib selema, Adija Selema (Selema) |
Mondi nyangema, Shimo ametema (ametema) |
Amefosi bifu mseleleko (Eeeh! Tumemkwepa) |
Amebaki masononeko (Eeeh! Wanamcheka) |
Kwanza kunja goti (Lee kunja goti) |
Kisha vua shati (Eeeh vua shati) |
Cheza kama monkey (Aiii!) |
Vunja ukidanki danki |
Eeeh! Tumewachapa (Kidude) |
Hakichomoki (Kidude) |
Kimewanasa (Kidude) |
Wanatapatapa (Kidude) |
Chizi karogwa tena! Chizi. Chizi karogwa tena eeeh! |
Chizi karogwa tena! Chizi. Chizi karogwa tena eeeh! |
Chizi karogwa tena! Chizi. Chizi karogwa tena eeeh! |
Chizi karogwa tena! Chizi. Chizi karogwa tena eeeh! |
Dangote baba lao (Baba lao) |
Simba baba lao (Baba lao) |
Chibu baba lao (Baba lao) |
Mondi baba lao (Baba lao) |
Eeeh Zombie baba lao (Baba lao) |
Magufuli baba lao (Baba lao) |
Majaliwa baba lao (Baba lao) |
Wasafi chama lao |
Mzuka ukipanda na hili shati navua (acha uongo) |
Mzuka ukipanda na hili bukta navua (acha uongo) |
Jamani navua (acha uongo) |
Mama navua (acha uongo) |
Mwenzenu navua (acha uongo) |
Eeeeh! Kuna Basata |
Basi napiga Yope (Huwezi) |
Ooooh! Napiga Yope (Huwezi) |
Iyobo napiga Yope (Huwezi) |
Mi napiga Yope (Huwezi) |
Eeeeh X12 |
Tale napiga Yope (Huwezi) |
Mi napiga Yope (Huwezi) |
Momo napiga Yope (Huwezi) |
Fungwe napiga Yope (Huwezi) |
Eeeeh X12 |