Información de la canción En esta página puedes encontrar la letra de la canción Katika, artista - Navy Kenzo
Fecha de emisión: 27.09.2018
Idioma de la canción: swahili
Katika |
Yeah yeah |
No no |
Nahreel on the beat |
Katika, katikaaee |
Katika, katikaaee |
Katika, katikaaee |
Ninamidadi ka ya rumba, eeh |
Kibao kata kinyonga, ooh naa |
Mfukoni namavumba, weeeh |
Nungu chini linasunta, eeeh |
Yani bo bo bo bo |
Kananikoshaga roho ooo |
Yani nasimama de de de de |
Kakitingisha wo wo wo wo |
Baby girl dance for me one time (secreto) |
Miono feni kunata (secreto) |
Tena jifunge na ngata (secreto) |
Zile za kibao kata (secreto) |
Baby girl dance for me one time (secreto) |
Miono feni kunata (secreto) |
Tena jifunge na ngata (secreto) |
Katika, katikaaee |
Katika, katikaaee |
Katika, katikaaee |
Katikaaaeee |
Katika, katikaaee |
Katika, katikaaee |
(Mbbbrrrookkkee) |
Katika, katikaaee |
(Aaiiruubuudaani!) |
Yani katoto ka ndi, kako ndi ndi ndi |
Kamekazika yani ngi ngi ngi |
Nyuma mbwii, kako mbwi mbwi mbwii |
Kana misifa shangi ngi ngi |
Nilikavizia kitamboo (aah eeh) |
Loe kamenasa chambo (aah eeh) |
N’takapakia na mgando (aah eeh) |
Kajegeje karambo (aah eeh) |
Buuumbaaiii! |
Kana michezo ngomani |
Sindimba izombe |
Nami nampatia za pwani |
Muhogo wa jang’ombe |
Yani e e e e |
Kananikoshaga roho o o o |
Waga nasimama de de de de |
Kakitingisha wo wo wo wo |
Oooh yaaah, ooh nadendea |
Yani siwezi kutembea |
Che cheme na chechemea |
Yani hadi na legea |
Aki! |
Katika, katikaaee |
Katika, katikaaee |
Katika, katikaaee |
Katikaaaeee |
Katika, katikaaee |
Katika, katikaaee |
Katika, katikaaee |
Maumivu naugulia |
Mwiba ukizama nahisi mateso |
Utamu mang’ang’ania |
Ndizi kwa nyuma Napata mchecheto |
Nakuna Nazi kwa mkongojo (aah eeh) |
Naunga mchuza wa sotojo (aah eeh) |
Una la rosti rojo rojo (aah eeh) |
Mikunjo Fulani wa bogojo (aah eeh) |
Kibao kata tenteme tenteme |
Kilinge ni kuzama uchutame |
Uwezi pata we mpaka usimame |
Haichagui mwembamba mnene |
Nikalaze kwa bed kitanda (kwa geto) |
Nikachezeshe samba (roketo) |
Na kalivo na body kinanda (sepetu) |
Tunguli zimenibamba (mobetto) |
Mama |
Katika, katikaaee |
Katika, katikaaee |
Katika, katikaaee |
Katikaaaeee |
Katika, katikaaee |
Katika, katikaaee |
Katika, katikaaee |