Letras Ate - Mbosso

Ate - Mbosso
Información de la canción En esta página puedes encontrar la letra de la canción Ate, artista - Mbosso.
Fecha de emisión: 15.11.2019
Idioma de la canción: swahili

Ate

Nataka longa na Wewe
Nikufunze Mapenzi
Mwenzako nayajua
Nataka sema nawe
Nikufunze Penzi Mimi ninalijua
Nipe nikubembeleze Kama mtoto ng’ara
Kwa raha zako ujinenepee
Nikushike Pendo lisiteleze likagaragara
Wabaya Macho Wasisogelee
Aaaaah Ah
Twende Zanzibar Comorro Mombasa
Tucheze Zumari Ndombolo Chakacha
Nikupe Michezo hatari Uzidi Takata
Tuwe ng’aring’ari Dangote Tanasha
Kama Kikogwa nitala na Chumvi
Ate ate ate atee
Vimboga mboga Sangara Uduvi
Ate ate ate atee
Eeeeh iyanaaa iyaaaa
Ate ate ate atee
Iyaaana iyaaaaa
Ate ate ate atee
Mhh mhhh mhh mhhh mhhh
Mimi Daktari
Daktari wa Mapenzi
Dozi yangu temethali
Inatibu na kuenzi
Mhh
Yangu Tamu tamu bila Kuchanjia
Chachu Kwa Kudambulia
Swafi kwa Kuitumia ni Salama
Kama Buble Gum utatafunia
Ndafu kwa kusukumia
Mhh Chakurumagia
Kinyama
Penzi liogelee hii bahari Salama
Selelea Se
Tuelee mioyo isiende mrama
Selelea Se
Tule tujisosomoe nyama nyama za Shawarma
Selelea Se
Habib Seleleaaa
Twende Zanzibar Comorro Mombasa
Tucheze Zumari Ndombolo Chakacha
Nikupe Michezo hatari Uzidi Takata
Tuwe ng’aring’ari Dangote Tanasha
Aaaaah Ah
Kama Kikogwa nitala na Chumvi
Ate ate ate atee
Vimboga mboga Sangara Uduvi
Ate ate ate atee
Eeeeh iyanaaa iyaaaa
Ate ate ate atee
Iyaaana iyaaaaa
Ate ate ate atee
Jamaa mwali Kang’ang’ania
Anaitaka
Mmhh Analilia
Anaitaka
Oooh Kashikilia
Anaitaka
Nimpe Yote yote
Yani nzima nzima
Anaitaka
Oooh Kulamba lamba
Anaitaka
Chocolate Ya maziwa
Anaitaka
Yote yote

Compartir letras:

¡Escribe lo que piensas sobre la letra!

Otras canciones del artista:

NombreAño
Baikoko ft. Diamond Platnumz 2021
Shida 2018
Sina Nyota 2020
Watakubali 2018
Alele 2018
Tamba 2020

Letras de artistas: Mbosso