Información de la canción En esta página puedes leer la letra de la canción Tamba de - Mbosso. Fecha de lanzamiento: 17.03.2020
Idioma de la canción: swahili
Información de la canción En esta página puedes leer la letra de la canción Tamba de - Mbosso. Tamba |
| Pasha maji weka moto' tandika jamvi naja nyumbani |
| Nimekuletea zawadi, kijora cha mkopo' futa la nazi ujipare, honey |
| Na vijisabuni vya magadi' |
| Nguru usimtoe chumvi ndio ladha yake |
| Muunge tu' nipe na chuzi na nyama yake |
| Eh' |
| Kula ya mbuzi ni kamba yake (Oh oo…) |
| Ye king’amuzi mi dishi lake |
| Hook: |
| Fungeni maturubahi (Mkeshe mkisema!) |
| Wala hamtupi shida (Mkeshe mkisema!) |
| Ndo kwanza tunajidai (Mkeshe mkisema!) |
| Kama afisa wa NIDA |
| Ooh.ohho… |
| Hook: |
| Tena' Daktari nimekuja na tiba sindano (Leta nchomeke!) |
| Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (Leta nchomeke!) |
| Nipo ngagari tayari kwa mapambano (Leta nchomeke!) |
| Chai yaanguka Asas leo mambo msuguano (Leta nchomeke!) |
| Tamba… |
| Tamba… |
| Nakupa uwanja tamba |
| Tamba… |
| Tamba… |
| Warushe warushike roho zao |
| Tamba… |
| Tamba… |
| Wasokujua wakujue leo |
| Tamba… |
| Tamba… |
| Tamba mama lao… |
| Nitalinda benki kwa rungu' niaminie |
| Taka langu Mwana mvungu' nainama mie |
| Wavunje nazi na nyungu' wajifushie |
| Oh my wangu atulinde atulinde Mungu' yasitufikie |
| Nilishakumbwa na tsunami' la mapenzi nikalia, na amani kwako sasa |
| Penzi si la unyang’anyi' peke yangu najilia na shiba na kusaza |
| Naka T. V kangu kana waka kuzima' Nikupe |
| Naka simu kangu japo cha mchina' Nikupe |
| Shika na moyo wangu nenda nao mazima' Nikupe |
| Tuzaliwe Makkah tufie Madinah' Nikupe |
| Hook: |
| Fungeni maturubahi (Mkeshe mkisema!) |
| Wala hamtupi shida (Mkeshe mkisema!) |
| Ndo kwanza tunajidai (Mkeshe mkisema!) |
| Kama afisa wa NIDA |
| Ooh… ohho… |
| Hook: |
| Tena' Daktari nimekuja na tiba sindano (Leta nchomeke!) |
| Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (Leta nchomeke!) |
| Nipo ngagari tayari kwa mapambano (Leta nchomeke!) |
| Chai yaanguka Asas leo mambo msuguano (Leta nchomeke!) |
| Tamba… |
| Tamba… |
| Nakupa uwanja tamba |
| Tamba… |
| Tamba… |
| Warushe warushike roho zao |
| Tamba… |
| Tamba… |
| Wasokujua wakujue leo |
| Tamba… |
| Tamba… |
| Tamba mama lao… |
| Wasafi… |
| Hook: |
| Nishalinoa panga' porini kukata mua |
| Mwana kaza kitanda' usiku kuneng’emua |
| Nishalinoa panga' porini kukata mua |
| Mwana kaza kitanda' usiku kuneng’emua |
| Uu yeah yeah… |
| Uu yeah yeah yeah… |
| Nishalinoa panga' porini kukata mua |
| Nishalinoa panga' porini kukata mua* |
| Aiyo aiyo aiyo yo aiyo… |
| La la la, la la la, la la la… |
| La la la, la la la, la la la… |
| Aiyo, Laizer |
| Nombre | Año |
|---|---|
| Baikoko ft. Diamond Platnumz | 2021 |
| Shida | 2018 |
| Sina Nyota | 2020 |
| Watakubali | 2018 |
| Ate | 2019 |
| Alele | 2018 |