Información de la canción En esta página puedes encontrar la letra de la canción Sina Nyota, artista - Mbosso.
Fecha de emisión: 01.09.2020
Idioma de la canción: swahili
Sina Nyota |
Mwenyewe anaona sawa |
Ila mwambie mimi ananiumiza sana |
Ni zaidi ya kupagawa |
Siponi ugonjwa na nishamaliza dawa |
Na ajue bado nipo |
Ila hali yangu hohehahe |
Sina mabadiliko |
Machozi mafuriko fundi wa jiko langu kaacha mawe |
Mpaka akalamba mwiko |
Bridge: |
Toka alivyoniacha |
Sina nyota wala mwezi |
Mwenzake nimekamatwa |
Na homa ya mapenzi |
Toka alivyoniacha |
Sina nyota wala mwezi |
Mwenzake nimekamatwa |
Na homa ya mapenzi |
Mwili watepeteka |
Sina afadhali mawazo yanitesa |
Mbavu dabodeka ni ka misumari |
Naanza dhoofika |
Mwili watepeteka |
Sina afadhali mawazo yanitesa |
Mbavu dabodeka ni ka misumari |
Naanza dhoofika |
Bado ndo ndo ndo chururu |
Nikijaza haikai kibaba |
Na misongosongo msururu |
Sita haikai saba |
Mimi kitorondo ye kunguru |
Mbao zangu hazimpi msaada |
Makombe nishaoga dawa ka susuru |
Huenda nikasahu labda |
Kitandani mito ipo miwili |
Ubavu wewe ubavu mimi |
Pakata ndiko imewekwa shubiri |
Nalikwepa nalala chini |
Nimefuta picha tulizopiga chumbani |
Ila bado zanisuta suta zimebaki kichwani |
Silali nastuka stuka unaniita gizani |
Chozi lalowesha shuka na sina wa kunifuta nani |
Bridge: |
Toka alivyoniacha |
Sina nyota wala mwezi |
Mwenzake nimekamatwa |
Na homa ya mapenzi |
Toka alivyoniacha |
Sina nyota wala mwezi |
Mwenzake nimekamatwa |
Na homa ya mapenzi |
Mwili watepeteka |
Sina afadhali mawazo yanitesa |
Mbavu dabodeka ni ka misumari |
Naanza dhoofika |
Mwili watepeteka |
Sina afadhali mawazo yanitesa |
Mbavu dabodeka ni ka misumari |
Naanza dhoofika |
Outro: |
Toka alivyoniacha |
Sina nyota wala mwezi |
Mwenzake nimekamatwa |
Na homa ya mapenzi |
Toka alivyoniacha |
Sina nyota wala mwezi |
Mwenzake nimekamatwa |
Na homa ya mapenzi |