Información de la canción En esta página puedes encontrar la letra de la canción I Miss You, artista - Diamond Platnumz.
Fecha de emisión: 20.07.2017
Idioma de la canción: swahili
I Miss You |
Hello, hapo vipi sijui unanisikia |
Hello, na maneno natamani kukwambia |
Hello, tafadhali usije nikatia |
Hello ooh, ona mpaka nasahau kusalimia |
Habari gani? Leo nimekukumbuka sana |
Na mama yaani, twakuwazaga |
Vipi nyumbani, hali ya mumeo na wana? |
Na aunty Shani, wa Chimwaga |
Anha Kile kidonda changu cha roho |
Bado kinanitia tabu |
Najitahidi kukaza roho |
Ila nazidisha adhabu |
Tena silali oh |
Nasubiri maajabu |
Maumivu yangu hayajapata dawa |
Maana I miss you (nakukumbuka iye iye) nakukumbuka baby |
I miss you (nakukumbuka iye iye) |
I do miss you (nakukumbuka iye iye) nakukumbuka mama |
I miss you (nakukumbuka iye iye) |
Ooh na roho yangu mama (bigili bigili) |
Ah nikikuwaza (bigili bigili) |
Nikisinzia (Bigili bigili bayoyo) |
Oh nikilala (bigili bigili) |
Inama inuka woh (bigili bigili) |
Nami sina raha (Bigili bigili bayoyo) |
Tatizo hata sijui nini kosa langu |
Mpaka nikawa adui ghafla ukanichukiaga |
Nawaza ila siambui ama shida zangu uuu. |
Simba nikawa chui mi roho inaniumaga |
Yawezekana ahadi zangu zisizotimia |
Ndio maana haukutaka kusubiria |
Nasema nyama mwisho wa siku naleta bamia |
Chai mchana usiku dona kurumaghia |
Nilitamani sana ila nguvu yangu pale iliishia |
Ningalikua na uwezo ningekutimizia |
Ningali unafuraha haya maumivu ntayavumilia |
Ila japo nambie ivi unanifikiria maana eh eeh |
Nakumkumbuka iyeh iyeh (nakumkumbuka sana ooh) |
I miss you (nakukumbuka iye iye) |
Nakumkumbuka sana ooh |
I miss you (nakukumbuka iye iye) |
I miss you (nakukumbuka iye iye) |
I miss you (nakukumbuka iye iye) |
Ooh na roho yangu mama (bigili bigili) |
Ah nikikuwaza (bigili bigili) |
Nikisinzia (Bigili bigili bayoyo) |
Oh nikilala (bigili bigili) |
Inama inuka woh (bigili bigili) |
Nami sina raha (Bigili bigili bayoyo) |
Hata nikila (bigili bigili) |
Nikikuwaza (bigili bigili) |
Nikiiii nana |
(Bigili bigili bayoyo) |
Ooh na roho yangu mama (bigili bigili) |
Ah nikikuwaza (bigili bigili) |
Nikisinzia (Bigili bigili bayoyo) |
Tudd Thomas |
Eeeeeh eeh roho yangu mama (Bigili bigili) |
Eeeeh hee hee (Bigili bigili) |
Eeeeh hee hee (Bigili bigili bayoyo) |
Oooh roho yangu mama (Bigili bigili) |
Inama inuka woh (bigili bigili) |
Na Chibu sina raha (Bigili bigili bayoyo) oh |
Hata Nikila |