Información de la canción En esta página puedes encontrar la letra de la canción Kesho, artista - Diamond Platnumz.
Fecha de emisión: 25.11.2014
Idioma de la canción: swahili
Kesho |
=i> Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani |
nataka kesho twende ukamuone mama x2 |
=I> Kwanza kabisa ntanyonga Tai |
T"shirt na Jeans ntatupa kidogo. |
Unite Nasibu usiniite Dai |
Asije kukuona muhuni akapandisha Mbogo… |
Naukifika uagize Chai |
Savanna Takila uzipe kisogo… |
Kuhusu mavazi kimini haifai |
Tupia pendeza ila za Hekima Logo… |
=I> Even though wanaponda eti we ni kicheche |
Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke x2 |
=I> Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani |
Nataka kesho twende ukamuone mama x2 |
Usilete swaga za Nainai |
Ukanyoa kiduku kama Moze Iyobo. |
Eti shoping twende Tai |
wakati Dadaangu anaduka kigogo. |
Ukikuta Nguna usikatae |
we zuga unapenda hata kama wa Muhogo. |
Kuhusu kabila mbona Sadai |
Mama angu hana noma hata kama Mgogo |
=I> Even though wanaponda eti we ni kicheche |
Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke x2 |
=I> Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani |
Nataka kesho twende ukamuone mama x2 |
Mama yangu mama… |
Mama Naseeb mama… |
Mama Diamond mama… |
Mama yangu nyumbani… |
Mama Chali mama… |
Mama Sepetu mama… |
Mama Kidoti mama… |
Kwa mama Diamond nyumbani… |
=I> Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani |
Nataka kesho twende ukamuone mama x2 |