Información de la canción En esta página puedes encontrar la letra de la canción Moyo Wangu, artista - Diamond Platnumz.
Fecha de emisión: 27.11.2013
Idioma de la canción: swahili
Moyo Wangu |
Moyo wangu |
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee |
Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa |
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee |
Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa |
Upole wangu simanzi eeehee, kwa kukupenda maradhi eeehee |
Lakini kupendwaga mi naye bahati huaga sina |
Jichoni kwangu kibanzi eeehee, tena nampenda kamanzi |
Licha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata raha sina |
Ufinyu wa mboni zangu unatazama mengi aliyonipa mateso |
Tena hata kupenda sina raha, ona nakonda kwa mawazo |
Masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka kesho |
Kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaa |
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeyeee |
Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa |
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeyeee |
Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa |
Mmmmhh tena, kutwa kucha mara ooohhh |
Huwezi kosa maneno, ili mradi tu tara tantalila, mmmh sina raha |
Wala sina tena mipango, kutwa nzima na mawazo Gina |
Mmhhh aaaaaahh ooohh sina raha oo mama |
Tamu ya wali ni nazi eeeeee, raha ya supu maandazi eeeeeeee |
Raha yangu mi kupendwa tu naye lakini nyota sinaaa |
Na napata na radhi eeeeee, nawakufuru wazazi eeeeeee |
Kwa kung’ang’ana mi kutaka kuwa naye lakini bahati sinaaa |
Masikini roho ingalikuwa ni nguo ningempa avae japo akipita wamsifie |
Ila lakini ni kikwazo |
Masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka |
Kesho kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaaa |
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee |
Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa |
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee |
Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa |
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee |
Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa |
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee |
Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa |