Información de la canción En esta página puedes encontrar la letra de la canción Ntashinda, artista - Diamond Platnumz.
Fecha de emisión: 10.01.2015
Idioma de la canción: swahili
Ntashinda |
Check it out |
Oh na na na na na na na |
Eh eh eh |
Oh na na na na na na na |
Eh eh eh |
Oh na na na na na na na |
Eh eh eh |
Oh, this is the remix |
Oh na na na na na na na |
Oh oh oh |
Salamu zangu za kwanza |
Ah, ziende kwa Mola na mama |
Za pili Chamng’aza |
Oh, mwambie asante sana |
Za tatu dada angu |
Asma na Halima Kimwana |
Oh, mie usijali |
Sijachoka napambana |
Hii dunia ina mengi |
Yenye raha na matatizo |
Ogopa mapenzi |
Oh, maana waga shinikizo |
Hii dunia ina mengi |
Yenye raha na matatizo |
Ila sio mapenzi |
Ndo huwaga chanzo cha vita… |
Oh na na na na na na na |
(Oh, najua wananpinga) |
Oh na na na na na na na |
(Ila naamini ntashinda) |
Oh na na na na na na na |
(Hata wewe unapingwa…) |
Oh na na na na na na na |
(Ila amini ntashinda) |
Ayayayaya (hey) |
Ayayayayaya (hey) |
Ayayayaya |
(Oh, tena raha na matatizo) |
Ayayayaya (hey) |
Ayayayayaya (hey) |
Ili mradi wakuharibie |
Mola |
Oh, nilinde rafiki zangu |
Na |
Uwape upendo ndugu zangu |
Mola |
Oh, nilinde na Tale wangu mimi |
Na |
Niwapende na maadui zangu |
Tai |
Nnaonekana mjinga ila kwetu ulefunzwa |
Ndio maana kila wasemapo huwaga nakuza |
Vimaneno maneno |
Haviwezi niuguza |
Sio siwezi |
Najua ndo chanzo cha vita… |
Oh na na na na na na na |
(Oh, najua wananpinga) |
(Mi najua sana) Oh na na na na na na na (sana) |
(Ila naamini ntashinda) |
(Oh, naamini) Oh na na na na na na na (naamini) |
(Hata wewe unapingwa…) |
(Hata wewe) Oh na na na na na na na |
(Ila amini ntashinda) |
Ayayayaya (hey) |
Ayayayayaya (hey) |
Ayayayaya |
(Oh, tena raha na matatizo) |
Ayayayaya (hey) |
Ayayayayaya (hey) |
Ili mradi wakuharibie |
Oh na na na na na na na |
(Oh, najua wananpinga) |
(Najua sana) Oh na na na na na na na (sana) |
(Ila naamini ntashinda) |
(Naamini) Oh na na na na na na na |
(Hata wewe unapingwa…) |
Oh na na na na na na na |
(Ila amini ntashinda) |
Oh oh oh |
Ah, ziende kwa Mola na mama |
Ah ah ah |
Umwambie asante sana |
Oh oh oh |
Tonsa Mwamba au Karama |
Imma |
Umwambie Tumi asante sana |
Eti Tuddy anaringa |
Q Boy anaringa |
Mara Romy anavimba |
Kuzusha zusha bwana |
Aga, Chege anaringa |
Sota anavimba |
Mkubwa Fella anaringa |
Ili mradi tu lawama |
(Wasafi…) |