Información de la canción En esta página puedes encontrar la letra de la canción Simba, artista - Diamond Platnumz.
Fecha de emisión: 19.08.2020
Idioma de la canción: swahili
Simba |
Oooh Waiteeeeeeeeeeeeee Eh! |
Kumekucha Jama |
Kishafanya Yake Munyama |
Oooh! Kumekucha Jama |
Kishafanya Yaa! |
Agaah! Waambie Simba |
Simba Kiboko Yao |
Waambie Wekundu Wa Msimbazi |
Simba Kiboko Yao |
Oooh! Taifa Kubwa |
Simba Kiboko Yao |
Oooh! This Is SImba |
Simba Kiboko Yao |
Ona Manara Anacheza |
Anashangilia Ushindi Umekuja! |
Mo Anarukaruka |
Anashangilia Ushindi Umekuja! |
Yule Dada Anakata |
Anashangilia Ushindi Umekuja! |
Agaah! Wahuni Wanarukaruka |
Wanashangilia Ushindi Umekuja! |
Na Tutamfunga Yoyote Atakae Kaa Mbele |
Si Wanawashwa Tutawakuna Upele |
Chenga Na Pasi Ndo Zetu Kama Mbele |
Oh Magoli Mashuti Kama Pele |
Wataweza Wapi Jamaa (Wakwende Zao!) |
Kushindana Na Munyama (Wakwende Zao!) |
Oooh! Wataweza Wapi Jamaa |
Kushindana Na Musimbazi |
Agaah! Nasema Simba |
Simba Kiboko Yao |
Waambie Wekundu Wa Msimbazi |
Simba Kiboko Yao |
Haina Mpinzani |
Simba Kiboko Yao |
Oooh! Mabingwa Wa Nchi |
Simba Kiboko Yao |
Ah Wanachama Wanacheza |
Wanashangilia Ushindi Umekuja! |
Mashabiki Wanarukaruka |
Wanashangilia Ushindi Umekuja! |
Ooh! Nguvu Moja |
Anashangilia Ushindi Umekuja! |
Hadi Wale Wanarukaruka |
Wanashangilia Ushindi Umekuja! |
Oyaa Mnyama Anakula |
Aaaaaaaahm! |
Mnyama Anang’ata |
Aaaaaaaahm! |
Mnyama Anakula |
Aaaaaaaahm! |
Mnyama Anang’ata |
Aaaaaaaahm! |
Anawatafuna |
Aaaaaaaahm! |
Anawemeza |
Aaaaaaaahm! |
Anawatafuna |
Aaaaaaaahm! |
Anawemeza |
Aaaaaaaahm! |
Eeeeh Kidedea |
Eeeeh Kidedea |
Eeeeh Kidedea |
Eeeeh Kidedea |
Naipenda Simba Mshabiki Wa Damu |
Naipenda Simba Mshabiki Wa Damu |
Me Mwenzenu Mshabiki Wa Damu |
Naipenda Simba Mshabiki Wa Damu |
Nani Baba Wanangu Nani Baba (Simba) |
Nani Baba Wanangu Nani Baba (Simba) |
Nani Bingwa Wa Nchi Nani Bingwa (Simba) |
Nani Bingwa Wa Nchi Nani Bingwa (Simba) |
Kama Unaipenda Simba Puliza Vuvuzela |
We Kama Unaipenda Simba Peperusha Bendera |
Ah Kama Unaipenda Simba Puliza Vuvuzela Basi |
We Kama Unaipenda Simba Peperusha |
Asa Twende Peperusha Bendera |
Wanangu Bendera |
Niione Bendera |
Nionyeshe Bendera |
Nyekundu Bendera |
Nyeupe Bendera |
Ya Simba Bendera Umoumo! |
Oooh Waiteeeeeeeeeeeeee Eh! |
Enheee! Waambie |
Hii Ndo Timu Yenye Mashabiki Wengi East Africa |
Na Yenye Makombe Mengi East Africa And Central |
Iliyofanya Vizuri Zaidi Kwenye Mashindano Makubwa Afrika |
Kuliko CLub Yoyote |
Na Tutamfunga Yoyote |
Enheeee! |
Watoto Wa Msimbazi |
Bado Sijasikia Miluzi |
Sijasikia Milio |
Wanangu Miluzi (Mama) |
Nisikie Milio (Weka) |
Wa Kule Miluzi (Twende Baba) |
Wa Huku Milio (Umoumo) |
Nisikie Miluzi (Wewe) |
Wanangu Milio |
Eeeeh Kidedea |
Eeeeh Kidedea |