Información de la canción En esta página puedes encontrar la letra de la canción Utanipenda, artista - Diamond Platnumz.
Fecha de emisión: 01.06.2017
Idioma de la canción: swahili
Utanipenda |
Tanta lala laaa |
Ooh La la la la laaaa |
Mmmmh |
Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale |
Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza Madale |
Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree |
Umeneja umebaki jina |
Hanitaki hata Tale |
Oooh wale shabiki zangu |
Walionisifu kwa maneno matamu |
Leo maadui zangu |
Ni mitusi tu kwa instagram |
Kimwanaa si dada angu |
Eti nae hanifahamu |
Hata Harmonize nikimpigia |
Ananifokea kama Sallam |
Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuagaa |
Utasikia Tafalani eti Mondi kwa Zari amemwagwa |
Navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa |
Kama naiona michambo ya madem wa zamani nlio wapitiaga |
Ooh nayosema yana maana |
Sababu hakuna anaejua kesho |
Anaepanga ni Rabana |
Ila ameificha ni confidential |
Ukisali omba sanaa |
Mumeo nisije kuwa kichekesho |
Maana rafiki wa jana |
Aaah |
Ndio adui mkubwa wa kesho |
La la la la la laaaaa |
Au je utanipenda gaa? |
La la la la laaa |
Au nawe utanimwagaa? |
La la la la laaaa |
Ati utanipenda gaa ooh |
Ooooh |
Ooooooooh. |
Bado naiwaza sana |
Zile tunzo mashauzi airport |
Je itapofika tamati |
Utadiriki hata japo kunipost |
Pindi show zimekwamaa |
Na nikipata sijahis ni mikosi |
Oooh jahazi limezama |
Mola ninusulu baba |
Kama namuona mwanangu |
Roho yangu |
Tiffa Dangote |
Anakwenda na mamaangu |
Kwa Jakaya Kikwete wanafukuzwa watoke |
Usilie Sandra wangu |
Mboni yangu |
Jikaze usichoke |
Huenda kesho zamu yangu |
Nitavuma tena mambo yanyooke |
Eeeey |
Na magazeti ya nyumbani |
Kwa kukuza habari si unajuagaa |
Utasikia tafalani eti Mondi kwa Zari amemwaga |
Oh yeh yeh yeh |
Navyo nilivyo mnyonge |
Tabia ya kuwajibu sinaga |
Kama naiona michambo ya madem wa zamani |
Yani He he heeeeee |
La la la la laaaaaa (eeeh) |
(Ola lala la laaaalaa) |
La la la la laaa |
(Ooh ola la la laaaa) |
La la la la la alaaaa |
Eeeh |
Ola la la lilaa ooh |
I say. |
Kama namuona mwanangu |
Roho yangu |
Tiffa dangote |
Ana kwenda na mama angu |
Kwa mkubwa Fella anafukuzwa watoke |
Usilie sandra wangu |
Mboni yangu |
Jikaze usichoke |
Huenda kesho zamu yangu |
Nitavuma tena |
Mambo yanyooke (he he heee) |
Eiiii |
Ola lala lilaa |
Oooh baby |
Tudd Thomas |
Oooooh |
Nayosema yana maana |
Sababu hakuna anaejua kesho |
Anaepanga ni Rabana |
Ila ameificha ni confidential |
Ukisali omba sana |
Mumeo nisije kuwa kichekesho |
Maana rafiki wa jana |
Ndio adui mkubwa wa kesho |
WASAFIIII. |