| Kuna rhumba ya Juja |
| Na ni ya maboy |
| Ukisaka mitumba |
| Enda rhumba ya Toi |
| Kuna rhumba ya Kibich |
| Utajua hujui |
| Kuna rhumba for all you niggas |
| Ila rhumba Japani ndio rhumba |
| Kuna rhumba ya state house |
| Iko chini ya maji |
| Kuna rhumba ya bunge |
| Ya majambazi |
| Ukileta ujinga |
| Utalala ndani |
| Kuna rhumba for all you niggas |
| Lakini rhumba Japani ndio rhumba |
| Hapa ni wapi, tumezungukwa na shisha |
| Na shashamani, mapochopocho na vinywaji |
| Mbali mbali, wengine wanatapika |
| Wakizirai |
| Hapa ni wapi, wanatutwanga mapicha |
| Kipaparazi, tumezungukwa na warembo |
| Geti kali, tunazitoka na style |
| Za kizamani |
| Kuna rhumba ya Westy |
| Ya mabeshte |
| Wa mashinani |
| Sheki your waiste |
| Rhumba ni nyepesi |
| Isikue kesi |
| Kuna rhumba for all my niggas |
| Ila rhumba Japani ndio rhumba |
| Kuna rhumba Karura |
| Ya kupanda miti |
| Ukiwa Koinange |
| Hakunaga risiti |
| Rhumba Oyole |
| Hio ni ya mangwati |
| All of my hoes and all of my niggas |
| Rhumba Japani ndio rhumba |
| Hapa ni wapi, tumezungukwa na mabouncer |
| Kama chwani, kuna mapedi mapoko |
| Pia mapinji, na wanaseti Michele |
| Kwenye vinywaji |
| Hapa ni wapi, kuna visanga vioja |
| Mahakamani, wapenzi wapigana |
| Mate hadharani, wengine wanatekana |
| Nyuma ya taxi |
| Nitie rhumba obunga |
| Mano mar jothurwa |
| To kidwa bilo mbuta |
| Rieri yo manyata |
| Yawuoi orwaka akala |
| To nyiwa ondiso avunja |
| Kuna rhumba for all you niggas |
| Lakini rhumba Japani ndio rhumba |
| Aaaaaaah |
| Sol Generation you know |
| Hii shit imeniweka zone, inatamba |
| Hapa ni wapi, waheshimiwa wako nje |
| Kwa foleni, na raia wako ndani |
| Wajivinjari, wanazitoka na style |
| Ni za kiodi |
| Hapa ni wapi, mawochi wote wameleta |
| Utiaji, wakafungia wakubwa |
| Nje ya party, wakawachia ofisi |
| Wafanyikazi |