![Interlude Sauti Sol - Sauti Sol](https://cdn.muztext.com/i/3284759629033925347.jpg)
Fecha de emisión: 03.08.2009
Etiqueta de registro: Penya
Idioma de la canción: swahili
Interlude Sauti Sol |
Nakuomba Nerea |
Usitoe mimba yangu eeh |
Mungu akileta mtoto |
Analeta hasani yake |
Leta nitamlea |
Usitoe mimba yangu eeh |
Mungu akileta mtoto |
Analeta hasani yake. Huenda akawa Obama atawale Amerika |
Huenda akawa Lupita Oscar nazo akashinda |
Huenda akawa Wanyama acheze soka uingereza |
Huenda akawa Kenyatta mwanzilishi wa taifa |
Aaah |
Nakuomba Nerea |
Usitoe mimba yangu eeh |
Mungu akileta mtoto |
Analeta hasani yake |
Leta nitamlea |
Usitoe mimba yangu eeh |
Mungu akileta mtoto |
Analeta hasani yake |
Nitamlea oh ohHuenda akawa Maathai ailinde mazingira |
Huenda akawa Makeba nyimbo nzuri akatunga |
Huenda akawa Nyerre aongoze Tanzania |
Huenda akawa Mandla mkombozi wa Afrika |
Aaah |
Nakuomba Nerea |
Usitoe mimba yangu eeh |
Mungu akileta mtoto |
Analeta hasani yake |
Leta nitamlea |
Usitoe mimba yangu eeh |
Mungu akileta mtoto |
Analeta hasani yake. Nakuomba |
Nerea Nerea |
Nerea Nerea |
Nerea Nerea |
Usitoe mimba yangu |
Nerea |
Nerea |
Nerea |
Usitoe mimba yanguHuenda akawa Kagame atawale |
Jaramogi Odinga tuungane |
Huenda akawa Tom Mboya |
Huenda akawa Rudisha |
Huenda akawa malaika |
Mungu ametupatia |
Huenda akawa Sauti Sol |
Huenda akawa Amos and Josh |
Huenda akawa |
Yeah yeah yeah |
Huenda akawa Malaika |
Mungu ametupatia… |
Nombre | Año |
---|---|
My Everything ft. India.Arie | 2020 |
Melanin ft. Patoranking | 2019 |
Love Again ft. Sauti Sol | 2019 |
Afrikan Star ft. Burna Boy | 2019 |
Extravaganza ft. Bensoul, Nviiri The Storyteller, Crystal Asige | 2019 |
Insecure | 2020 |
Suzanna | 2020 |
Disco Matanga (Yambakhana) ft. Sho Madjozi, Black Motion | 2020 |
Brighter Days ft. Soweto Gospel Choir | 2020 |
Wake Up ft. Mortimer | 2020 |
Unconditionally Bae ft. Alikiba | 2016 |
Time Flies ft. Sauti Sol | 2020 |
Sober | 2020 |
Feel My Love | 2020 |
Kuliko Jana ft. Redfourth Chorus | 2016 |
Africa ft. Yemi Alade | 2019 |
Short N Sweet ft. Nyashinski | 2019 |
Tujiangalie ft. Nyashinski | 2019 |
Whine It ft. Sauti Sol | 2020 |
Awinja | 2011 |